Uchaguzi Nigeria 2023: Matokeo ya urais na wabunge kadri yanavyojiri

Mamilioni ya Wanigeria wanapiga kura yao kumchagua rais na wabunge wa bunge la shirikisho.
Huu ni uchaguzi wa kwanza wa aina yake ambapo vyama vine viko mstari wa mbele katika uchaguzi, kinyume na awali ambapo vyama viwili pekee ndivyo vilivyokuwa na wagombea wakuu.
Licha ya vyama vya APC , Bola Tinubu anagombea, na PDP, ambacho Atiku Abubakar anagombea, kuna pia chama cha NNPP, ambacho mgombea wake ni Kwankwaso , na Peter Obi anayewania kiti hicho kwa kupitia chama cha Leba- Labor Party.
Uchaguzi wa Nigeria 2023:Matokeo ya hivi punde ya kinyang'anyiro cha urais na ubunge
Raia wa Nigeria walipiga kura katika uchaguzi mkuu wa Jumamosi. Wagombea 18 wanawania kuwa rais na watu pia waliwapigia kura maseneta na wajumbe wa baraza la wawakilishi. BBC inatumia data iliyotolewa na Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi ya Nigeria (Inic) kujumlisha matokeo.
Matokeo ya urais Nigeria 2023
Kushinda katika awamu ya kwanza, mgombea lazima awe na wingi wa kura na zaidi ya 25% ya kura katika theluthi mbili ya majimbo 36 na katika Eneo la Mji Mkuu wa Shirikisho(Abuja)
Matokeo yaliyosajiriwa mara ya mwisho: 06/15/2026, 16:39:25 muda wa eneo (GMT+1)
Matokeo ya mwisho
Matokeo ya urais Nigeria 2023
Kushinda katika awamu ya kwanza, mgombea lazima awe na wingi wa kura na zaidi ya 25% ya kura katika theluthi mbili ya majimbo 36 na katika Eneo la Mji Mkuu wa Shirikisho(Abuja)
Matokeo yaliyosajiriwa mara ya mwisho: 06/15/2026, 16:39:25 muda wa eneo (GMT+1)
Matokeo ya mwisho
Matokeo ya uchaguzi wa Urais kwa jimbo
Matokeo ya uchaguzi wa Urais kwa jimbo
Matokeo yaliyosajiriwa mara ya mwisho: 06/15/2026, 16:39:25 muda wa eneo (GMT+1)
Bonyeza ramani kutazama matokeo zaidi
Matokeo ya Seneti kwa chama
Matokeo yaliyosajiriwa mara ya mwisho: 06/15/2026, 16:39:25 muda wa eneo (GMT+1)
| Chama | Viti |
|---|---|
| All Progressives Congress | 59 |
| Peoples Democratic Party | 36 |
| Labour Party | 8 |
| Wengine | 4 |
| New Nigeria Peoples Party | 2 |
Bunge la wawakilishi kwa chama
Matokeo yaliyosajiriwa mara ya mwisho: 06/15/2026, 16:39:25 muda wa eneo (GMT+1)
| Chama | Viti |
|---|---|
| All Progressives Congress | 159 |
| Peoples Democratic Party | 104 |
| Labour Party | 35 |
| New Nigeria Peoples Party | 18 |
| Wengine | 9 |
| Haijatangazwa | 35 |
Waandalizi
Designers: Olaniyi Adebimpe and Millicent Wachira; Visual Artists: Mayowa Alabi and George Wafula: Waandishi Data: Yusuf Akinpelu and Brian Osweta; Developers; Boaz Ochieng, Marcos Gurgel, Ayu Widyaningsih Idjajaand na David Ayoola; Mkuu wa mradi: Dorothy Otieno.
Zaidi kuhusuUchaguzi wa Nigeria 2023
Taarifa zaidi kuhusu uchaguzi wa Nigeria:
- Ni nani yuko kwenye kinyang'anyiro cha kuiongoza Nigeria?
- https://ndjeirbsjao.shop/swahili/articles/cqv88eq2v0po%3C/li%3E%3Cli role="listitem" class="css-1maxgwy">Changamoto zinazomsubiri rais ajaye wa Nigeria
- https://ndjeirbsjao.shop/swahili/articles/cldlqq56w31o%3C/li%3E%3Cli role="listitem" class="css-1maxgwy">https://ndjeirbsjao.shop/swahili/articles/ce57z67n03zo%3C/li%3E%3C/ul%3E%3C/div%3E%3Csection aria-label="Matangazo 2" aria-hidden="true" role="region" data-e2e="advertisement" class="css-3l3nc6">
Rabiu Kwankwaso ni nani?
Peter Obi wa chama cha Labour ni nani?
Atiku Abubakar ni nani?
Bola Tinubu wa APC ni nani?



























