Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Shakahola: Mwana wa Mackenzie afichua ndugu zake bado wanalazimishwa kufunga
Dan Mackenzie, 27, amesema aliripoti suala hilo kwa polisi, ambao waliwaokoa watoto wanane, wakiwemo ndugu zake watano wadogo.
Muhtasari
- Shakahola: Mwana wa Mackenzie afichua ndugu zake bado wanalazimishwa kufunga
- Somalia: Mahakama yaamua nani ni baba wa mvulana katika mzozo ulioua watu saba
- Kylie Jenner azua mjadala baada ya kuvaa sidiria yenye thamani ya dola milioni 50
- Christiane Amanpour kuondoka CNN mwakani baada ya miaka 43
- Vance: Simuungi Netanyahu kuchaguliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Israel
- Kura za maoni zaonyesha Waalberta wengi wanataka kubaki ndani ya Canada
- Marekani yatoa tahadhari kwa raia wake kuhusu safari za Kenya
- Selena Gomez asema matumizi ya sigara za kielektroniki yamebadilisha sauti yake
- DR Congo: MSF kufunga kituo cha matibabu ya Ebola mjini Bunia
- Trump asema yuko tayari kukutana na Putin na Xi kujadili kupunguza silaha za nyuklia
- Ronaldo asimamishwa kuichezea timu ya taifa ya Ureno kwa siku 30 na kutozwa faini
- Mshauri wa Zelensky: Waukraine wanakufa kutokana na kupungua kwa ushirikiano wa kijasusi wa Marekani
- Ethiopia yaionya Eritrea dhidi ya kuunga mkono makundi ya upinzani
- Jeshi la Iran ladai kudungua droni ya Marekani
- Miji ya Ufaransa yawa tulivu usiku kucha baada ya amri za kutotoka nje
- Lissu ateuliwa hatua ya mwisho na Bunge la Ulaya katika tuzo ya Sakharov
- Maafisa 13 wa uhifadhi na usalama wakamatwa baada ya vifo vya watu wanne Tanzania
- Tetesi za soka Jumanne: Liverpool, Manchester United wamuweka Nmecha kwenye rada zao
- Mkosoaji wa Rais wa Rwanda aliyekuwa uhamishoni apatikana akiwa amekatwa kichwa
- Vikosi vya Yemen vyashambuliana vikali na wanamgambo wa Houthi mpakani mwa Saudi Arabia
Moja kwa moja
Na Lizzy Masinga & Mariam Mjahid