Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Kenya yathibitisha kisa cha tisa cha Ebola, wagonjwa wengine waimarika
Mwanamume huyo alithibitishwa kuwa na Ebola Oktoba 19, 2026, baada ya kuanza kuonyesha dalili akiwa tayari amewekwa karantini.
Shakahola: Mwana wa Mackenzie afichua ndugu zake bado wanalazimishwa kufunga
Dan Mackenzie, 27, amesema aliripoti suala hilo kwa polisi, ambao waliwaokoa watoto wanane, wakiwemo ndugu zake watano wadogo.
Lissu ateuliwa hatua ya mwisho na Bunge la Ulaya katika tuzo ya Sakharov
Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo hutolewa kila mwaka na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu, demokrasia na uhuru wa msingi.
Mambo matano ya kushangaza kuhusu maisha ya Saddam Hussein
Kila dikteta aliyewahi kutawala duniani ana sifa au tabia za kipekee zinazomtofautisha na wengine. Inasemekana kuwa Saddam Hussein hakuwa tofauti na madikteta hao.
Je, Manchester City wana nafasi yoyote ya kushinda rufaa yao?
Manchester City inakabiliwa na “vikwazo vikubwa” vya kushinda ili kuwa na nafasi yoyote ya kufanikiwa katika rufaa yake, baada ya kupatikana na hatia ya kukiuka kanuni za kifedha za Ligi Kuu ya England (Premier League), mwanasheria mashuhuri ameiambia BBC Sport.
Mashujaa waliotikisa utawala wa kikoloni na kuibadili historia ya Kenya
Mashujaa sita waliopigania uhuru wa Kenya: Kutoka Mekatilili wa Menza hadi Dedan Kimathi
Selena Gomez asema matumizi ya sigara za kielektroniki yamebadilisha sauti yake
“Kuacha nikotini ni vigumu sana. Nilitaka tu kusema kwamba ikiwa unahangaika kuacha, au hata unafikiria kuanza kutumia sigara za kielektroniki, haifai kabisa,” aeleza Selena Gomez
Kasisi aliyefariki baada ya kuangukiwa na msalaba alikuwa akiongoza misa mubashara Ecuador
Sánchez Molinari, mwenye umri wa miaka 53, alikuwa kwenye madhabahu akiongoza ibada ya misa wakati msalaba mkubwa wa mbao ulilegea ghafla kutoka mahali ulipokuwa umetundikwa ukutani na kumwangukia moja kwa moja.
Shakahola: Mahakama yampata na hatia Mackenzie na wenzake 28 kwa mashtaka 191 ya mauaji
Kati ya wahanga hao, 190 walikuwa watoto wenye umri wa miaka 16 na chini, huku mmoja akiwa mtu mzima.
Kwa nini Wahouthi bado wanafanikiwa kuishambulia Saudi Arabia?
Silaha hizi ni pamoja na makombora ya balistiki yenye uwezo wa kufika umbali wa zaidi ya kilomita 2,000, ndege zisizo na rubani (droni) na ndege za kivita zilizotengenezwa Marekani na Ulaya.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Nani anayeongoza Kanisa Katoliki wakati Papa anapougua?
Wataalamu wanaeleza kuwa sheria za kanisa (canon law), ambazo zinafafanua kwa kina taratibu za kumrithi Papa anapofariki au kujiuzulu, hazitoi mwongozo wa kutosha katika hali ambapo Papa bado yuko hai lakini hawezi kutekeleza majukumu yake kikamilifu.
Mashambulizi ya Houthi dhidi ya Saudi Arabia yataathiri ibada ya Umrah?
Katika siku za hivi karibuni, wanamgambo hao wameshambulia viwanja muhimu vya ndege nchini Saudi Arabia, ikiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Riyadh.
Jinsi kifo cha Raila Odinga kilivyovuruga mahesabu ya Ruto
Kadiri ramani ya kisiasa inavyoendelea kubadilika, ndivyo inavyodhihirika kuwa kutokuwepo kwa mwanasiasa huyo mkongwe kumeleta fursa na changamoto kwa wakati mmoja.
Joseph Kabila: Kutoka urais hadi kuongoza muungano unaojumuisha M23
Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila Kabange amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za DRC.
Thomas Sankara: Mauaji yaliyobadili Afrika na urithi uliodumu kwa vizazi
Kwa wengi, Sankara hakuuawa tu kama rais wa Burkina Faso. Aliwakilisha maono ya Afrika inayojitegemea, inayojiamini na inayotafuta mustakabali wake kwa misingi ya maslahi ya wananchi wake.
Kwa nini Marekani inafikiria kutumia 'Mama wa Mabomu Yote' dhidi ya Iran?
Mtandao wa CNN umenukuu vyanzo vyenye taarifa kuhusu mipango hiyo vikisema kuwa jeshi la Marekani linafikiria uwezekano wa kutumia bomu la GBU-43/B, linalojulikana kama “Mama wa Mabomu Yote”, kushambulia miundombinu ya nishati na maeneo ya nyuklia ya Iran.
Mwaka mmoja baada ya Raila: Nini kimebadilika?
Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kimeacha alama kubwa katika siasa za Kenya, huku mjadala ukiendelea kuhusu urithi wake na mwelekeo wa kisiasa alioujenga kwa zaidi ya miongo minne.
BBC Africa Eye: Ni nani aliwapiga risasi waombolezaji wa Raila Odinga?
Uchambuzi wa BBC Africa Eye wa video na picha 1,500 umeonyesha kuwa waliouawa katika hafla ya kumuaga Raila Odinga hawakuwa karibu na eneo la vurugu.
Mataifa saba yanayolipa mshahara mkubwa zaidi Afrika
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kenya iliwapiku majirani zake Tanzania, Uganda na Rwanda, lakini ikabaki nyuma ya Djibouti, ambayo ndiyo iliyoongoza sio Afrika Mashariki pekee bali pia bara zima kwa wastani wa dola 2,836 kwa mwezi.
'Mwaka mmoja bila Polepole umekuwa mgumu sana'- Familia
Kaka yake, Godfrey Polepole, ameiambia BBC kuwa familia imekuwa ikipitia kipindi kigumu tangu kutoweka kwa ndugu yao, huku juhudi za kumtafuta zikigonga mwamba.
Wafahamu wafanyabiashara wenye utata kama Wicknell Chivayo
Kilichowaunganisha wengi wao ni simulizi ya kuanzia maisha ya kawaida au ya umaskini na baadaye kufikia utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa au kijamii.
Kwa nini Marekani iliziondoa kwa ghafla ndege zake za kurusha mabomu kutoka Uingereza?
Hatua ya ghafla na ya kina ya kuondolewa kwa ndege nzito za Marekani zenye uwezo wa kubeba mabomu siku ya Jumapili ilikuja kwa kasi kiasi cha kuacha kila mtu akijiuliza ni nini kilichosababisha hatua hiyo
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 21 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 20 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 20 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 20 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani