BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja , Marekani yaidhinisha uuzaji wa makombora ya Patriot kwa Ukraine
Marekani imeidhinisha uuzaji wa makombora 500 aina ya Patriot kwa Ukraine, ambazo ni silaha muhimu za kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ya Urusi.
Mwanasayansi huyu anataka uache kumwaga maji chooni baada ya kujisaidia
Mwanasayansi Profesa Kai Udert anapendekeza kutumia mkojo kutengeneza mbolea kutokana na virutubisho vilivyomo, kama nitrojeni na fosforasi. Anasema kutenganisha mkojo na maji taka kunaweza kupunguza uchafuzi wa mito na bahari, kuokoa nishati na kupunguza utegemezi wa mbolea zinazotengenezwa kwa kutumia rasilimali za ardhini.
Ndugu waliotelekezwa wakiwa wachanga ndani ya mifuko wakutana tena
David McBride alitumia miongo kadhaa kumtafuta mama yake baada ya kutelekezwa akiwa mchanga, lakini badala yake akawapata dada na kaka yake wa kuzaliwa.
Kwanini uchaguzi wa katikati ya muhula Marekani ni muhimu kwa Trump?
Tarehe 3 mwezi Novemba, raia wa Marekani watawachagua wajumbe wa Bunge la Congress, ambalo linaundwa na Baraza la Wawakilishi na Seneti.
China: Jinsi Mbappé alivyozua hasira ambayo wengi hawakujua chanzo chake
Kauli za Mbappé kuhusu kiongozi wa zamani wa China zilizua hasira, lakini udhibiti wa taarifa uliwaacha wengi bila kujua alichosema hasa.
Siri zako ziko salama mikononi mwa AI?
Uuzaji wa taarifa za watumiaji wakati kampuni inapofilisika si jambo jipya, lakini AI imeongeza ukubwa wa hatari hiyo.
Israel: Kwa nini Netanyahu anadai vyama vya Waarabu viliiba uchaguzi?
Chama cha Likud cha Waziri Mkuu Netanyahu kimedai kuingiliwa kwa uchaguzi na kutuhumu vyama vya Waarabu kwa kupoteza wingi bungeni.
Afrika: Je, huu ndio mwanzo wa kujitegemea kiuchumi?
Nchi nyingi za Afrika zinazidi kujaribu kuongeza thamani ya rasilimali zake kwa kuzichakata ndani ya nchi badala ya kuziuza zikiwa ghafi.
UN yasema kuzuiliwa kwa Lissu ni kinyume cha sheria
Lissu amekuwa kizuizini tangu Aprili 2025 akikabiliwa na shtaka la uhaini, kosa linaloweza kuadhibiwa kwa hukumu ya kifo.
Tufaha moja kwa siku: Je, kweli lina faida kwa afya?
Kila mwaka karibu tani millioni moja za tufaha huzalishwa kote duniani.
Ghasia za Uchaguzi Tanzania: Mwaka mmoja baadaye, familia bado zinatafuta haki
Familia hizo zinasema bado hazijapata haki wala ufafanuzi wa kutosha kuhusu yaliyotokea wakati wa ghasia hizo, na zinataka waliohusika wawajibishwe.
AFCON kuandaliwa kila baada ya miaka miwili - CAF
CAF yabatilisha mpango wa AFCON kufanyika kila miaka minne
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Benjamin Netanyahu: Je, Israel iko tayari kumpa muhula mwingine madarakani?
Tunamuangazia Waziri Mkuu wa Israel aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi, Benjamin Netanyahu, ambaye anatarajia kuwania muhula mwingine wa uongozi katika uchaguzi wa bunge utakaofanyika tarehe 27 Oktoba.
Wakosoaji wa serikali ya Rwanda ambao vifo vyao vimezua maswali
Serikali ya Rwanda imekanusha madai ya kuhusika katika vifo vya wakosoaji wake, lakini baadhi ya matukio hayo yameendelea kufuatiliwa na mashirika ya haki za binadamu kutokana na maswali yaliyoibuliwa kuhusu mazingira ya vifo hivyo.
BBC: Jinsi hospitali zilivyolengwa makusudi na wapiganaji wa RSF Sudan
Uchunguzi wa BBC umebaini ushahidi kwamba wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Rapid Support Forces (RSF) waliharibu mfumo wa huduma za afya wa mji wa el-Fasher.
PHP ni nini, kwa nini ilisababisha taharuki ya usalama wa mtandao duniani?
Ilichukua uwezo wa akili mnemba (AI) kuyafichua mapungufu, jambo lililosababisha tahadhari ya kimataifa kuhusu usalama wa mtandao.
Ndani ya mtandao wa siri wa hujuma dhidi ya Putin nchini Urusi
Wanaume wawili wa Urusi wameeleza kazi wanayodai kuifanya kwa siri kusaidia Shirika la Ujasusi wa Kijeshi la Ukraine (GUR) katika vita dhidi ya Urusi. Wanasema wamekuwa wakikusanya taarifa za kijasusi, kufuatilia malengo ya kijeshi na kusaidia operesheni zinazolenga miundombinu na maafisa wa kijeshi wa Urusi.
Nani anayeongoza Kanisa Katoliki wakati Papa anapougua?
Wataalamu wanaeleza kuwa sheria za kanisa (canon law), ambazo zinafafanua kwa kina taratibu za kumrithi Papa anapofariki au kujiuzulu, hazitoi mwongozo wa kutosha katika hali ambapo Papa bado yuko hai lakini hawezi kutekeleza majukumu yake kikamilifu.
Mashambulizi ya Houthi dhidi ya Saudi Arabia yataathiri ibada ya Umrah?
Katika siku za hivi karibuni, wanamgambo hao wameshambulia viwanja muhimu vya ndege nchini Saudi Arabia, ikiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Riyadh.
Jinsi kifo cha Raila Odinga kilivyovuruga mahesabu ya Ruto
Kadiri ramani ya kisiasa inavyoendelea kubadilika, ndivyo inavyodhihirika kuwa kutokuwepo kwa mwanasiasa huyo mkongwe kumeleta fursa na changamoto kwa wakati mmoja.
Titanic: Simulizi ya mwanaume wa pekee mwenye asili ya Kiafrika katika meli hiyo
Mnamo tarehe 10 Aprili 1912, meli iliyokuwa na teknolojia ya hali ya juu zaidi kuwahi kujengwa wakati huo ilianza safari yake ya kwanza kabisa ikitokea Southampton.
Joseph Kabila: Kutoka urais hadi kuongoza muungano unaojumuisha M23
Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila Kabange amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za DRC.
Thomas Sankara: Mauaji yaliyobadili Afrika na urithi uliodumu kwa vizazi
Kwa wengi, Sankara hakuuawa tu kama rais wa Burkina Faso. Aliwakilisha maono ya Afrika inayojitegemea, inayojiamini na inayotafuta mustakabali wake kwa misingi ya maslahi ya wananchi wake.
Muammar Gaddafi: Alitaka kuwa 'mfalme wa wafalme' -ndoto yake iliishia wapi?
Muammar Gaddafi, ambaye aliuawa na waasi mwaka 2011, alikuwa mtoto wa mfugaji na mkulima wa Kibedui. Lakini aliwezaje kuwa mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa zaidi katika ulimwengu wa Kiarabu?
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC 2 Novemba 2026, 05:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia 30 Oktoba 2026, 18:29, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC 30 Oktoba 2026, 06:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC 30 Oktoba 2026, 05:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































